We have many organization operating under the guise Tanzania artst but their money will not help the real life of Tanzanian artist. By helping Tanzania Artst directly involve you directly to assist Tanzania Tanzania life and future. Contact them and make part of your friend. One love, we love you.

Thursday, July 12, 2012

Kwame Elly Anangisye

Artst Kwame Elly Anangisye.
tanzaniafineart@gmail.com
By : Kwame Elly Anangisye
Tittle: Beauty (A rose is still a rose)
Medium: Mixed Media Painting
Year: 2007


Chanzo http://www.fullshangweblog.com/search?updated-max=2012-07-01T03%3A09%3A00%2B03%3A00&max-results=100
Kituo cha sanaa cha Swagga Fujho cha mkoani Mbeya kikiwa katika mazoezi makali chini ya mtaalam wake Kwame Anangisye kwenye makao makuu yao yaliyopo maeneo ya Mbeya Forest mjini Mbeya.
Vijana wa kike wenye vipaji nao wapo katika kituo hicho wakijifunza mambo mbalimbali katika sanaa na muziki.
Mtaalam Kwame Anangisye akiwa na mwalimu mwenzake Daniel Simfukwe wakipiga picha ya pamoja kituoni hapo wakati wakitoa mafunzo kwa vijana hao.
Kituo kipya cha Sanaa kinachofahamika kwa jina la SWAGGA FIJHO kimeanzishwa katika jiji la Mbeya kwa lengo la kuwakutanisha vijana wenye vipaji na kuwaendeleza katika sanaa . Katika kituo hiki vijana wenye vipaji mbalimbali kama vile kudance, muziki, waigizaji, wachoraji, watayarishaji muziki wanapatiwa mafunzo ya sanaa bure na mafunzo mengine yatakayotolewa katika kituo hiki ni Kompyuta kama vile teknolojia ya mawasiliano (Internet, Graphic Design) , utayarishaji wa filamu na pia watapatiwa fursa mbalimbali katika ulimwengu wa sanaa.
Lengo lingine la kituo hiki cha Sanaa ni kuwaunganisha wasanii wa Mbeya na wasanii mbalimbali wa Tanzania pamoja na wasanii kutoka nje ya nchi.
SWAGGA FIJHO Arts Centre ni kitovu cha Sanaa na Ubunifu na kipo kwa ajili ya shughuli mbalimbali kama vile mafunzo, kuandaa maonyesho, warsha, uzalishaji wa kazi za Sanaa na ubunifu, utoaji maelezo mbalimbali kuhusu sanaa na wasanii na pia kufanya tafiti mbalimbali za sanaa na utamaduni.


Kituo hiki kimeanzishwa kwa lengo la kuwasaidia vijana wenye vipaji ambao hawapatiwi fursa ya mafunzo na kuendelezwa katika sanaa na ubunifu ambapo mkoa wa Mbeya unasifika kwa kuwa na vijana wengi wenye vipaji mbalimbali

No comments:

Post a Comment