We have many organization operating under the guise Tanzania artst but their money will not help the real life of Tanzanian artist. By helping Tanzania Artst directly involve you directly to assist Tanzania Tanzania life and future. Contact them and make part of your friend. One love, we love you.

Sunday, October 14, 2012

Mohamed Raza


Mohamed Raza ni Msanii Maarufu wa kimataifa ambaye ni hazina Halisi ya Taifu letu la Tanzania, alianza kazi yake ya sanaa za kuchora tokea enzi za Uhuru wa Tanganyika. Vizazi zaidi ya viwili vimenufanika na kuelimika kwa kusoma vitabu vyake tokea shule za msingi mpaka secondary hasa vya kiingereza kama familia ya Mr & Mrs Daudi na Mtakuja Primary School. Mbali na hapo Mzee Raza aliwahi kumchora Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Miaka ya 1960 na kufanikiwa kupata kazi katika chama cha TANU. Pia aliwahi kufaya kazi katika ubalozi wa Marekani Hapa Tanzania miaka ya
70.




Orodha haikuishia hapo aliendelea kuchora na kudesign stempu pamoja na nishani za mashujaa wa vita vya Kagera pamoja na kuwachora viongozi wengine wa serikali.

URBAN PULSE Ikishirikiana na Mwandishi Nguli wa habari Freddy Macha wanakuletea programme maalum ya Mzee Raza walipopata bahati ya kukutana nae hapa jijini London na kumdadisi kwa undani katika safari yake ya sanaa za michoro pamoja na changamoto mbalimbali zinazomkabili.

Wakati Tunaelekea katika Miaka 50 ya uhuru hatuna budi kukumbuka, kutambua na kumpatia heshima yake anayostahili kwa mchango wake mkubwa alioutoa katika jamii yetu na ambaye ni Hazina ya taifa letu.

Programme hii itakuwa katika sehemu tatu, hivyo basi juinge nasi ili upate kumfahamu Mzee Raza kwa ukaribu zaidi,
Kutoka blog http://www.youtube.com/watch?v=L3CiYdQfyNs

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

Sunday, October 7, 2012

Shaaban Robert

Kwa wale wanakumbuka tasnia ya sanaa ya uandishi hawatasahau jina hili
Shaaban Robert .
Mmoja wa mahodari wetu kwenye kazi ya sanaa ya uandishi,kwa kusoma zaidi kwa lugha ya kiingereza  ingia  hapa en.wikipedia.org/wiki/Shaaban_Bin_Robert



Shaaban bin Robert, also known as Shaaban Robert (1 January 1909 – 22 June 1962), was a Tanzanian poet, author, and essayist who supported the preservation of African verse traditions.[1] He was born in Vibamba in the country's Tanga Region. Robert is thought of as a great Swahili thinker and writer in East Africa and has been called "poet laureate of Swahili" and the "Father of Swahili."[


2]Biography
Robert was born in the tiny village of Vibamba south of the town of Tanga in northeastern Tanzania (then Tanganyika) in East Africa. The surname Robert is most likely a name his father was given when he went to primary school. Shaaban himself for a time wrote it Roberts rather than Robert. From 1922 to 1926 he was educated in Dar es Salaam, coming in second in a class of 11 to receive the School Leaving Certificate under the then British colonial educational system in Tanganyika.[2]
The capital city of Dar es Salaam is home to a school named after him, the Shaaban Robert Secondary School.